RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU

RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU
kiungo : RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU

soma pia


RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU

* Asema kustaafu sio dhambi bali ni heshima kwa Taifa
* Asisitiza hakuna sababu ya kuwasumbua wastaafu

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

RAIS Dk.John Magufuli amerejesha matumaini mapya kwa wafanyakazi na kuagiza wastaafu wote nchini walipwe kwa kutumia kikotoo cha zamani cha asilimia 50.

Pamoja na hilo amesema kuwa kustaafu si dhambi bali ni heshima kwa Taifa.
Ametoa uamuzi huo leo hii Desemba 28, mwaka 2018 katika kikao chake kilichohudhuriwa na wadau wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii ,wafanyakazi na viongozi wa ngazi mbalimbali wa mifuko hiyo.

Baada ya Rais kutangaza kutumika kwa kikotoo cha zamani ukumbi wa Ikulu uligeuka kuwa sehemu ya shangwe ambapo nyimbo za mshikamano kwa wafanyakazi zilianza kuimbwa huku Rais akiwaambia "Wafanyakazi Hoyee...wafanyakazi ni muhimu katika kipindi hiki na lazima wapewe stahiki zao na fomuka nzuri ni ile ya kuboresha maslahi ya watu na sio kuwa na fomula inayotesa wafanyakazi."

Akifafanua wakati anatoa uamuzi huo Rais Mafuli amesema kwamba "kustaafu si dhambi bali ni jambo la heshima. Anayestaafu anastahili kuheshimiwa na Taifa hili na hivyo hatakiwi kupata shida , kikokotoo kilichokuwa kinatumika huko nyuma kitumike katika kipindi hiki cha mpito hadi mwaka 2023," amesema Rais huku akishangiliwa.

Amefafanua kuwa kwa takwimu alizonazo ni kwamba kwa kipindi cha mpito ambacho ni kuanzia sasa hadi mwaka 2023 watakaostaafu ni wanachama 58, 000 na hao walipwe kwa kikotoo cha asilimia 50 huku akisisitiza mifuko yote ilipe kama ilivyokuwa inalipa awali.

Ameongeza kuwa Serikali iliyopo madarakani imeweka mfumo imara wa ukusanyaji kodi na miongoni mwa walipa kodi wazuri ni wafanyakazi na hivyo lazima waendelee kulipwa kama zamani ndani ya kipindi hicho cha mpito .



Hivyo makala RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-magufuli-arejesha-kikokotoo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AREJESHA KIKOKOTOO CHA ZAMANI KWA WASTAAFU....SHANGWE ZALIPUKA IKULU"

Post a Comment