NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI

NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI
kiungo : NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI

soma pia


NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI


Na Richard Mwaikenda, Kibiti.

TAASISI ya Namaingo, imezindua uwekezaji wa Mradi wa Mizinga ya nyuki wa asali 55000 wa wanachama wake katika Kijiji cha Kikale, wilyani Kibiti, Mkoa wa Pwani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliofanyika jana kijiji hapo, Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya Namaingo, Ignus Augustino, alisema mipango yao ni kila mwanachama kuwa atamiliki mizinga 50.

Uzinduzi huo ulifanywa mbele ya wananchama waliotoka Dar es Salaam pamoja na wanakijiji wa Kikale katika mabanda matatu yenye mizinga 200 ya kuanzia. Mizinga hiyo ipo ndani ya msitu wa miti ya mikoko inayoaminiwa kutoa daraja la kwanza la asali yenye kiwango cha kimataifa.

Augustino alisema kuwa wamejiandaa vilivyo kuutekeleza mradi huo mkubwa ambapo hivi sasa tayari watalaamu wa kutengeneza malkia wapo eneo la mradi. Urinaji ukianza baada ya miezi sita Kila mzinga utakuwa unatoa kilo 20 za asali. Naye Mwenyekiti Msaidizi wa Namaingo, Elesia Mkuru, alisema baadhi ya wanachamama walikuwa 

hawaamini kuwa mradi huo utandinduliwa, lakini sasa wameshaona ukweli wa mambo.Aliipoongeza Serikali kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), kwa kuwaruhusu kuwekeza mradi huo katika misitu iiyopo mikoa ya Pwani, Iringa, Njombe, Dar es Salaam na Morogoro. Mwanachama wa Namaingo, Queen Ryoba, alisema kuwa wamefurahi sana kuona mradi huo umeanza 
Baadhi ya Wanachama wa Taasisi ya Namaingo wakiangalia moja kati ya mabanda ya ufugaji nyuki wa asali wakati wa uzinduzi Mradi wa Mizinga 55000 katika Kijiji cha Kikale, wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.
Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya Namaingo, Ignus Augustino, akiwaongoza wanachama kuangalia mizinga.
Wanachama wakiangalia baadhi ya mizinga



Hivyo makala NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI

yaani makala yote NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/namaingo-yazindua-mradi-wa-asali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAMAINGO YAZINDUA MRADI WA ASALI MIZINGA 55000 KIBITI"

Post a Comment