title : NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI
kiungo : NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI
NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Sima (Mwenye tracksuit) akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali kutoka kwa Mhandisi Simeo Machibya ambae ni Meneja Msimamizi wa Mradi kutoka Vikozi vya Ujenzi. Sima ameridhishwa na kasi ya Ujenzi huo na kumwagiza mkandarasi kujenga kwa wakati, ubora na kuzingatia viwango vinavyokubalika.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Sima (Mwenye tracksuit) akishiriki katika shughuli za ujenzi kwa kuchanganya mchanga katika ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais unaondelea katika Mji wa Serikali Ihumwa, Dodoma.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/naibu-waziri-sima-aridhishwa-na-kasi-ya.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI SIMA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MJI WA SERIKALI"
Post a Comment