NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU

NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU
kiungo : NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU

soma pia


NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU

Na Said Mwishehe.

UONGOZI na walimu wa Shule ya Mikochen English Medium ya jijini Dar es Salaam wamepongezwa kwa kuendelea kufavya vizuri kielimu ambapo imekuwa ya pili kiwilaya, tano kimkoa na 54 kitaifa katika kundi la shule zenye watoto chini ya 40 katika mtihani wa Taifa wa darasa la saba.

Pia wamepongezwa kwa kuwandaa wanafunzi katika misingi ya dini na malezi bora wakiwamo wa hitimu wa elimu ya msingi ambao wamefanya mahafali ya grade seven ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Uvuvi Abdalah Ulega.

Pongezi hizo zimetolewa leo wakati wa mahafali ya shule hiyo ambapo pia viongozi na walimu wamepongezwa kwa namna wqnavyowaandaa wanafunzi katika kuhakikisha wanazingatia masomo.

Akizungumza kwa niaba ya mgeni rasmi Ulega, Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi kutoka Wizara ya Kilimo na Mifugo Zacharia Kera amesema anaipongeza shule hiyo kwani imepiga hatua kimaendeleo na hasa katika kuwaandaa wanafunzo wake kitaaluma.

Wakati wa mahafali hayo wazazi na walezi wamejitokeza kwa wingi kuhakikisha wanashuhudia mahafali hayo huku mgeni rasmi akitumia nafasi hiyo kutoa pongezi pia kwa walimu waliofanikisha kuwajenga kielimu wanafunzi ambao wamehitimu shuleni hapo.

Kera amesema amefurahishwa na namna ambavyo wanafunzi wa shule hiyo wakiwamo wahitimu wa shule ya hiyo ambavyo wameandaliwa vema na kwamba wamejengwa kwenye misingi imara ya kielimu.
Mkuu wa shule ya msingi   Mikocheni English Medium, Zuwena Khamis Omar akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mahafali dalasa la saba yaliyo fanika mikocheni jijini Dar es Salaam. Shule hiyo imekuwa ya  pili kiwilaya, tano kimkoa na 54 kitaifa.
Sehemu ya wazazi na walezi wakiwa katika mahafali ya darasa la saba katika Shule ya Mikochen English Medium iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya wazazi na walezi wakiwa katika mahafali ya darasa la saba yaliyofanyika katika Shule ya Mikochen English Medium ya jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Utawala wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Zacharia Kera akizungumza na waandishi wa habari katika mahafali ya darasa la saba ya shule Mikocheni English Medium ambapo amewataka wahitimu kuwa na nidhamu, bidii na kutanguliza uzalendo katika yale watakayokuwa wakifanya ili kufikia malengo yao. (Picha na Emmanuel Massaka wa MMG).
Sehemu ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya dalasa la saba katika shule ya Mikochen English Medium iliyopo jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/naibu-waziri-mifugo-na-uvuvi-awapongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI AWAPONGEZA MIKOCHENI ENGLISH MEDIUM SCHOOL KWA NAMNA INAVYOWANDAA WANAFUNZI KIELIMU"

Post a Comment