title : MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA
kiungo : MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA
MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA
Na WAMJW – MISUNGWI, MWANZA
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kuhakikisha wanakamilisha kuleta vifaa vyote vinavyohitajika katika vituo vya Afya vinavyoboreshwa nchini kabla ya Januari 15, 2019 ili wananchi waweze kupata huduma.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy wakati akiweka jiwe la msingi la ukarabati wa kituo cha Afya Koromije na kukagua hali ya utoaji Huduma za Afya katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza.
“Haina maana ya kuwa na majengo makubwa na mazuri ya Vituo vya Afya kama hakuna vifaa vinavyohitajika, huku Wananchi wanaendelea kupata tabu”, alisema Waziri Ummy.
Aidha, Waziri Ummy amewahasa Wazazi na Wananchi wote kwa ujumla kutodharau huduma za Chanjo, hivyo kuwahimiza Wananchi wote kuwapeleka katika vituo vyakutolea chanjo watoto waliofika umri wa kupata chanjo
“Kifafa, Kifaduro,Donda koo, Surua, hayapo siku hizi kwasababu ya Chanjo, kwahiyo tusije tukadharau chanjo, tuhakikishe kila mtoto mwenye umri wakupata chanjo , akapate chanjo” alisema Waziri Ummy Mwalimu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akifunua kitambaa, ishara ya kuweka jiwe la msingi la ukarabati wa kituo cha Afya Koromije, ikiwa in sehemu ya majukumu katika ziara yake ya kukagua hali ya ubora wa huduma za Afya Mkoani Mwanza.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akiendelea na ukaguzi wa miundombinu katika kituo cha Afya Koromije, ikiwa in mwendelezo wa ziara yake ya kukagua hali ya ubora wa huduma za Afya Mkoani Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe.Charles Kitwanga akisema jambo mbele ya wapiga kura wake (hawapo kwenye picha) katika kijiji cha Koromije Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza wakati wa ziara ya Waziri wa Afya ya kukagua hali ya utoaji huduma za Afya kijijini hapo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akihutubia wanakijiji wa Koromije (hawapo kwenye picha) pindi alipofanya ziara yake ya kukagua hali ya utoaji wa huduma za Afya Mkoani Mwanza. .
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akiangalia gharama za matibabu kwenye mbao ya matangazo katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi.

Hivyo makala MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA
yaani makala yote MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/msd-yatakiwa-kukamilisha-vifaa-vyote.html
0 Response to "MSD YATAKIWA KUKAMILISHA VIFAA VYOTE VINAVYOHITAJIKA KATIKA VITUO VYA AFYA VILIYOBORESHWA"
Post a Comment