MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA

MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA
kiungo : MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA

soma pia


MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA



MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kanda ya Afrika Mashariki, wa Taasisi Aga Khan, Sulaiman Shahabuddin wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya Kiutendaji jijini Dar es Salaam Desemba 20 2018. Wanaoshuhudia (kulia) ni Meneja Msaidizi wa Kisheria wa Hospitali ya Aga Khan, Kieran Kitojo na Mwanasheria Mkuu wa MSD, Christopher Kamugisha. (Imeandaliwa na Robert Okanda)

MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Laurean Bwanakunu akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya utiliaji saini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Taasisi ya Taasisi Aga Khan. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Huduma za Hospital ya Aga Khan, Lucy Kwayu.
MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Laurean Bwanakunu (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kanda ya Afrika Mashariki, wa Taasisi Aga Khan, Sulaiman Shahabuddin wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wandamizi wa Taasisi waliohudhuria hafla hiyo.


Hivyo makala MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA

yaani makala yote MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/msd-na-aga-khani-wakubaliana-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSD NA AGA KHANI WAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA"

Post a Comment