title : MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM
kiungo : MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM
MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM
MGENI Diwani wa Kata ya Goba, Muslima Mwenda akikata utepe kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori wakati wa uzinduzi wa mradi wa mfano wa usimamizi wa maji mtiririko, kwenye Shule ya Sekondari Kinzudi, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Pamoja naye ni Mratibu wa Mradi huo, kutoka Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Wilbard Kombe (kulia), Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Saimon Mpyana (wa pili kulia), Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Given Mhina (kushoto) na Wataalam kutoka ARU na Halmashauri za jiji hilo. Mradi huo umedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Denmark (DANIDA) na kutekelezwa na wataalam wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU). (Imeandaliwa na Robert Okanda) |
Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Given Mhina (kushoto) akimpatia maelezo Mgeni Rasmi, Diwani wa Kata ya Goba, Muslima Mwenda alipotembelea maeneo mradi wa mfano wa usimamizi wa maji mtiririko, kwenye shule ya Sekondari Kinzudi ulivyotekelezwa katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Disemba 18 2018.
Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Given Mhina (kushoto) akimpatia maelezo Mgeni Rasmi, Diwani wa Kata ya Goba, Muslima Mwenda namna mfumo wa uvunaji wa maji ya mvua na jinsi yanavyoweza kutumiwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kinzuri baada ya kuzindua mradi wa mfano wa usimamizi wa maji mtiririko, kwenye shule ya Sekondari Kinzudi, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Disemba 18 2018. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>> |
Hivyo makala MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM
yaani makala yote MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mradi-wa-mfano-wa-usimamizi-wa-maji.html
0 Response to "MRADI WA MFANO WA USIMAMIZI WA MAJI MTIRIRIKO SEKONDARI YA KINZUDI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM"
Post a Comment