title : MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA
kiungo : MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA
MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya (Mb) akisikiliza wafanyakazi wa TanTrade namna huduma ya Kliniki ya Biashara inavyofanya kazi ya kutatua changamoto za wafanyabiashara kwenye Maonesho ya Tatu ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yalifanyika tarehe 5 hadi 9 Desemba, 2018 katika uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K.Nyerere Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya (Mb) akisikiliza wafanyakazi wa TanTrade namna huduma ya Kliniki ya Biashara inavyofanya kazi ya kutatua changamoto za wafanyabiashara kwenye Maonesho ya Tatu ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yalifanyika tarehe 5 hadi 9 Desemba, 2018 katika uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K.Nyerere Dar es Salaam. Katikakati ni Mhe Constantine Kanyasu (Mb) Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na kushoto ni Bw. Edwin Rutageruka Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya (Mb) akitoa maelekezo kwa Bw Edwin Rutageruka, Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade na wafanyakazi wa TanTrade ya namna ya kuwafikia wananchi ili kupata huduma ya Kliniki ya Biashara inayotolewa bure na TanTrade kwenye Maonesho ya Tatu ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yalifanyika tarehe 5 hadi 9 Desemba, 2018 katika uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K.Nyerere Dar es Salaam. Katikakati ni Mhe Constantine Kanyasu (Mb) Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Hivyo makala MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA
yaani makala yote MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mhandisi-manyanya-atembelea-maonesho-ya.html
0 Response to "MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA"
Post a Comment