title : JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI
kiungo : JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI
JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amewataka wakandarasi wanaojenga barabara ya lami ya Kisarawe – Maneromango kwa kipande kinacho endelea cha wastani wa Kilometa sita kuongeza kasi ya ujenzi.
Waziri Jafo amewataka wakandarasi hao wakati alipokuwa akifanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayojengwa wilayani Kisarawe. Barbara hiyo yenye urefu wa kilometa 54.8 inayojengwa kwa awamu mbalimbali itawasaidia sana wananchi wa wilaya ya Kisarawe na watalii mbalimbali wanaokwenda kutembelea mbuga ya selous kupitia Kisarawe .

Waziri Jafo ambaye ni Mbunge wa Kisarawe akiongea na moja ya mkandarasi anayejenga barabara ya Kisarawe – Maneromango kwa kipande cha Kazimzumbwi
Waziri Jafo akiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya Kisarawe katika ukaguzi wa barabara ya Kisarewe – Maneromango
Wakandarasi wakina katika harakati za ujenzi eneo la Kazimzumbwi .

Hivyo makala JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI
yaani makala yote JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/jafo-awataka-wakandarasi-kuongeza-kasi.html
0 Response to "JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI"
Post a Comment