title : Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru
kiungo : Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru
Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera (Julia) akipokea taarifa ya mkoa kuhusu hali ya maambukizi ya UKIMWI toka kwa Mwakilishi wa Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Magdalena Zenda (kushoto).Tukio hili limefanyika Leo mjini Tunduru wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa
Sehemu ya wananchi wa Tunduru waliojitokeza kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wakiwa na mabango yenye ujumbe maalum.
Vikundi vya burudani vilivyotumbuiza kilele cha siku ya UKIMWI mkoa wa Ruvuma iliyofanyika wilaya ya Tunduru leo
Hivyo makala Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru
yaani makala yote Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/homera-aongoza-maadhimisho-ya-siku-ya.html
0 Response to "Homera aongoza maadhimisho ya siku ya UKIMWI kimkoa wilayani Tunduru"
Post a Comment