DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*

DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI* - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*
kiungo : DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*

soma pia


DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*

SERIKALI ya Awamu ya Tano imeendelea kutumia ubunifu katika kuwahudumia wananchi ikiwemo kujibu na kufafanua kero zao papo kwa papo.

Katika hatua isiyokuwa ya kawaida, Msemaji Mkuu wa Serikali leo akiwa ziarani mkoani Morogoro alilazimika kuwapigia simu baadhi ya watendaji wa Serikali akiwa moja kwa moja studio za Redio Abood FM na ATV ili wajibu kero za sekta zao.

Afisa wa kwanza kukumbana na "kibano" hicho alikuwa Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Bw. Paschal Shelutete ambaye alipigiwa kwa mstukizo na kuunganishwa moja kwa moja studio ili ajibu swali la mwananchi aliyelalamikia tembo kutoka hifadhi mbalimbali kuvamia mashamba ya wananchi na kuharibu mazao.

Bw. Shelutete akionekana kulijua vyema eneo lake alifafanua kuwa kutokana na changamoto hiyo Tanapa na Mamlaka nyingine za Serikali kama Idara ya Wanyamapori zimekuwa na programu za kuwaelimisha wananchi wanaokaa karibu na hifadhi na mapori ya akiba.

"Tunaendelea kuwaelimisha wananchi wahakikishe wanatoa taarifa hizi kila wanapowaona wanyama wa porini wanarandaranda katika maeneo yao ili mamlaka zichukue hatua stahiki," alifafanua akitoa maelekezo ya hatua za kufuatwa.



Hivyo makala DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*

yaani makala yote DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI* Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI* mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/dkt-abbasi-awaunganisha-live-maafisa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT ABBASI AWAUNGANISHA 'LIVE' MAAFISA HABARI WA TAASISI ZA UMMA KUFAFANUA KERO ZA WANANCHI*"

Post a Comment