title : DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA
kiungo : DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA
DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA
Baada ya kuonesha uzembe katika moja ya mabao aliyofungwa jana kwenye mchezo wa Kombe la FA, mashabiki wa Simba wamemtupia lawama Deogratius Munish 'Dida'.Simba ilifungwa bao 3-2 na Mashujaa United na kusepeshwa nje ya mashindano hayo huku maana ya kikosi kipana cha Simba kikizua mjadala.
Kutokana na kichapo hicho, baadhi ya mashabiki waliokuwa Uwanjani waliibuka na kusema bao la tatu katika dakika za mwisho ilikuwa ni uzembe wa Dida.
Wapo walioeleza kuwa kipa huyo anajiwekea nafasi ngumu ya kupata namba kwenye kikosi cha kwanza kutokana na uzembe ambao aliuonesha kwa kufungwa goli la kirahisi.
Kichapo hicho kimewafanya Simba kuweka rekodi ya aina yake ya kutolewa mara mbili mfululizo kwenye mashindano hayo ikiwa ni baada ya mwaka jana kufungwa na Green Warriors kwa bao 1-0.
Hivyo makala DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA
yaani makala yote DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/dida-ajiweka-pabaya-simba.html
0 Response to "DIDA AJIWEKA PABAYA SIMBA"
Post a Comment