title : CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU
kiungo : CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU
CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU
Pichani ni wanachama hao waliosamehewa wakiwa wamesimama mbele ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wake Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally na mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (NEC) wakati wa Kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe Desemba 18, 2018 Jijini Dar es Salaam
Kwa kauli moja Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imepokea maombi na kukubali kusamehewa adhabu ya
kufukuzwa uanachama kutoka kwa waliokuwa wana CCM wanne ambao walitenda makosa hayo wakiwa
Wenyeviti wa CCM ngazi ya Mikoa na Wilaya.
Waliosamehewa na kurejeshewa uanachama ni;
1.Ndg. Ramadhani Rashid Madabida (aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam).
2.Ndg. Erasto Izengo Kwirasa (aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga).
3.Ndg. Christopher Mwita Sanya (aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara).
4.Ndg. Salum Kondo Madenge (aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni).
Hivyo makala CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU
yaani makala yote CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/ccm-yawasamehe-na-kuwarejeshea_18.html
0 Response to "CCM YAWASAMEHE NA KUWAREJESHEA UANACHAMA RAMADHANI MADABIDA NA WENZAKE WATATU"
Post a Comment