BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA

BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA
kiungo : BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA

soma pia


BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA

Mkurugenzi Idara ya Fedha benki ya Exim, Bw Selemani Ponda (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Bi Ashatu Kijaji baada ya benki kuwa miongoni mwa benki tatu bora kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2017. Tuzo hizo zilitolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.


Hivyo makala BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA

yaani makala yote BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/benki-ya-exim-yangara-tuzo-za-nbaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA EXIM YANG'ARA TUZO ZA NBAA"

Post a Comment