BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU

BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU
kiungo : BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU

soma pia


BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU


Na Said Mwishehe Globu ya Jamii Dodoma

WATANZANIA wameshauriwa kushiriki kikamilifu katika minada ya dhamana za Serikali kwani faida zake ni kubwa kwa Taifa ikiwamo kufanya shughuli za maendeleo kwa kutumia fedha zake za ndani.

Hayo yamesemwa leo Mjini Dodoma na Mkurugenzi wa Masoko na Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT) Alexander Ng'winamila wakati akiwasilisha mada katika mafunzo kwa waandishi wa habari za uchumi na fedha yalioandaliwa na BoT kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kuandika habari za fedha na uchumi.

Akizungumza wakati akitoa mada inayohusu uwekezaji katika dhamana za Serikali; faida zake kwa Taifa na wawekezaji ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia umuhimu wa wananchi kushiriki kikamilifu kwenye midana ya dhamana za Serikali.

Amesema ametoa ombi kuendelea kuhamasisha kutolewa kwa elimu kwa umma ili waweze kushiriki kikamilifu na hatimaye kuifanya serikali iweze kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa fedha za ndani."Ombi letu kwa vyombo vya habari tunaomba muendelee kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa kushiriki kwenye dhamana za Serikali.

Kuna faida nyingi na mojawapo ushiriki wao utawezesha Serikali kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia fedha za ndani badala ya kwenda kukopa nje ya nchi,"amesema.

Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tazania Bw. Alexander Nw'winamila akitoa mada ya uuzaji wa Hati Funagani na Amana za Serikali katika semina ya waandishi wa habari za Fedha na Uchumi inayofanyika jijini Dodoma katika tawi la Benki Kuu ya Tanzania BoT Dodoma ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo.

Bi. Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BoT) akitoa mchango wake katika semina hiyo kuhusu mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa.
Mshauri wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Dodoma akifafanua jambo katika semina hiyo inayoendelea jijini Dodoma.



Hivyo makala BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU

yaani makala yote BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/benki-kuu-yataja-faida-ya-dhamana-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI KUU YATAJA FAIDA YA DHAMANA ZA SERIKALI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU"

Post a Comment