title : ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA
kiungo : ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA
ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia upinde aliopewa na wazee wa kijiji cha Kilimarondo wilayani Nachingwea ikiwa ni ishara ya kumtakia ulinzi wakati wote anapotimiza majukumu yake ya kulitumikia taifa. Alikuwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kijijini hapo, Novemba 17, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mwenyekiti wa kijiji cha Mtua, wilayani Nachingwea, Anthony Makota wakati aliposoma taarifa kuhusu matatizo yanayokikabili kijiji hicho mbele ya Waziri Mkuu ambaye alisimama kijijini hapo kuwasalimia wananchi, Novemba 17, 2018 . Kulia ni Mbunge wa Nachingwea, Hasan Masala. Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu)
Hivyo makala ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA
yaani makala yote ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/ziara-ya-waziri-muu-kassim-majaliwa.html
0 Response to "ZIARA YA WAZIRI MUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI NACHINGWEA"
Post a Comment