title : WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI
kiungo : WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI
WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI
Kaimu Kamishna Msaidizi Idara ya Sera na Utafiti Kitengo cha Maendeleo ya Sekta ya Fedha Michael Nyagoya ambae ni akitoa Mada wa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia jambo katika Semina iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Sehemu ya watumishi kutoka Ofisi ya Bunge pamoja na Wabunge wakifuatilia jambo katika Semina iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI
yaani makala yote WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wizara-ya-fedha-yatoa-semina-kwa.html
0 Response to "WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI"
Post a Comment