Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi
kiungo : Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi

soma pia


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina ataongoza vikao vya kufanya tathmini ya kitaifa ya‘Operesheni Sangara III, 2018’  tarehe 01.12.2018 Mkoani Kigoma, ambayo inaendeshwa katika Maziwa ya Victoria, Tanganyika na Bwawa la Nyumba ya Mungu.
Aidha, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega ataongoza katika Kanda ya Ziwa Victoria, Mkoani Mwanza na Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Rashid Tamatama ataongoza katika Kanda ya Nyumba ya Mungu, Mkoani Kilimanjaro.
 Imetolewa na Edward Kondela
                       Afisa Habari - Wizara ya Mifugo na Uvuvi



Hivyo makala Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi

yaani makala yote Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-wa-mifugo-na-uvuvi-mhe-luhaga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina kuongoza vikao vya ‘Operesheni Sangara III, 2018’ Jumamosi"

Post a Comment