Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari

Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari
kiungo : Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari

soma pia


Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) akitoa neno la ufunguzi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Maiasili na Utalii, Mhe. Dkt. Khamis Kigwangalla kuongea na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo. Viongozi hao walifanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari kuelezea mikakati inayochukuliw na Serikali ya awamu ya tano ya kuvutia utalii nchini. Mikakati hiyo imeanza kuzaa matunda ambapo wnanchi wa Urusi wameichagua Tanzania kuwa eneo bora zaidi kwa utalii duniani na kutoa Tuzo maalum kwa serikali. Aidha, Mikakati iliyofanywa nchini China hivi karibuni imewezesha kuingiwa kwa Mkataba wa kuleta watalii elf 10 kutoka Shangai mwaka 2019. Kushoto ni Balozi wa Urusi nchini, Mhe. Yuri popov.
Dkt. Kigwangalla akizungumza na Waandishi wa Habari hawapo pichani ambapo alitumia fursa hiyo kuwaeleza namna Watalii wanavyoongezeka kuja nchini kwa wingi.  Alisema sekta ya utalii ndiyo inayoongoza kuingizia Taifa hili fedha za kigeni ambapo kitakwimu sekta hiyo inachangia asilimia 25 ya fedha zote za kigeni. Aidha. alitoa pongezi zake za dhati kwa balozi zetu zilizopo nje ya nchi kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuwa zimekuwa zikifanya jitihada kubwa katika kutangaza Vivutio vilivyopo nchini Tanzania  ambapo kutokana na juhudi hizo Tanzania inapokea watalii wapatao Milioni 1.3 na malengo waongezeke zaidi kila mwaka. 
Balozi wa Urusi naye akizungumza na Waandishi wa Habari
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya naAmerika Wizara ya Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Jestas Nyamanga
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Bw. Jestas Nyamanga (kushoto) pamoja na Naibu Balozi wa Urusi wakiwasikiliza kwa makini Mawaziri pamoja na Balozi wa Urusi wakizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari.
Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea






Hivyo makala Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari

yaani makala yote Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dkt-kigwangalla-na-dkt-ndumbaro-wafanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Dkt. kigwangalla na Dkt. Ndumbaro wafanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari"

Post a Comment