title : WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO
kiungo : WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO
WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO
Waziri wa kilimo Mh Japhet Hasunga akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Kitaifa ya wadau wa Kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania ambapo amewataka wakulima kulima Kilimo chenye tija.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya baraza la kilimo Tanzania Dkt Sinare Yusuph Sinare akizungumza wakati muda mfupi kabla ya kumakribisha waziri waziri wa Mh Japhet Hasunga kufungua warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo, ambapo Dkt Sinare alisema ili sera ya viwanda ifanikiwe ni muhimu kilimo kikaunganishwa na viwanda.
Mwenyekiti wa TPSF Bw Salum Shamte ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Kilimo, Bi Jacqueline Mkindi Makamo Mwenyeki wa Bodi, na Mwenyekiti Dkt Sinare Yusuph Sinare wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Kitaifa ya wadau wa Kilimo, iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya kitaifa ya Kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania wakifuatilia kwa umakini uwasilishwaji wa mada mbalimbali wakati wa warsha ya siku mbili inayofanyika Dar es Salaam.
M/kiti wa bodi ya wakurugenzi wa baraza la kilimo, bi Jacqueline Mkindi akiteta jambo na mwenyeki wa bodi dkt sinare yusuph wakati wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo iliyoandaliwa na baraza la kilimo Tanzania, anayefutia ni Waziri wa Kilimo Mh Japhet Hasunga.
Sehemu ya washiriki wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo wakifuatilia mjadala kuhusu sera za kilimo, warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza leo jijini dare s salaam imeandaliwa na abraza la kilimo Tanzania.
Hivyo makala WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO
yaani makala yote WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-wa-kilimo-afungua-warsha-ya.html
0 Response to "WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO"
Post a Comment