WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES)

WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES)
kiungo : WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES)

soma pia


WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES)

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii. 

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa amesema lengo la serikali ni kuona bohari kuu ya maji inasaidia katika kupunguza gharama za madawa.

Ameyasema hayo baada ya kutembelea bohari kuu ya maji (Maji Central Stores) na kusisitiza uongozi uliopo hauridhishi kutokana na namna wanavyoendesha taasisi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Prof Mbarawa amesema nia ya serikali ni kuona mamlaka zinafaidika na bohari kuu na muda mwingine wanatakiwa kusambaza vifaa vyake kwa mamlaka za maji kote nchini.

Mbarawa amesema, kuna mita zaidi ya 10,000 zimefungiwa tu ndani hawazisambazi kwa mamlaka za maji, kuna miradi mingi imesimama kutokana na kukosa vifaa ila bohari kuu imeviweka na havifanyi kazi yoyote.

Amewaagiza bohari kuu ndani ya wiki mbili wawe wamesambaza mita hizo kwa mamlaka za maji nchini ikiwemo Mkoa wa Lindi ambao wana uhitaji wa mita za maji karibia 3,000 na mikoa mingine pia.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa akieleza jambo kwa Boharia Mkuu Crepin Bilamu baada ya kutembelea ghala la vifaa na madawa leo Jijini Dar es Saalla
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa akikagua baadhi ya vifaa vilivyopo ndani ya ghala ndani ya bohari kuu ya maji Jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali vilivyopo ndani ya Bohari kuu ya maji ambapo vina  muda mrefu bila kutumika.



Hivyo makala WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES)

yaani makala yote WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mbarawa-asikitishwa-na-utendaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MBARAWA ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BOHARI KUU YA MAJI ( MAJI CENTRAL STORES)"

Post a Comment