title : WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII
kiungo : WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII
WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII
Na Khadija Seif, Globu ya jami
TAASISI ya Ustawi wa Jamii imewatunuku vyeti wahitimu 1,387 katika mahafali ya 42 ya chuo hicho katika ngazi ya astashahada,stashahada, katika fani ya Kazi za jamii kwa Watoto na vijana,Mahusiano kazini na Menejimenti ya sekta ya Umma( Industrial Relations and Public Management).
Akizungumzana leo jijini Dar es Salaam katika mahafali hayo, Katibu Mkuu - Idara Kuu ya Maendeleo ya jamii -Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dk.John Jingu amesema wahitimu wote wamekula kiapo kwa ajili ya kulitumikia Taifa na ujuzi waliopatiwa ni rasilimali kwa ajili ya Taifa kwa ujumla.

Dk.Jingu ameeleza fani ya ustawi wa jamii ni nyeti na muhimu katika jamii na wanapaswa kuwa katika sekta mbalimbali kwani wamefundishwa kujiajiri na kuajiri watu kwenye kazi. idha katika nchi zilizoendelea kuna hitajika kuwa na Ofisa Ustawi na chuo kwa sasa kinatakiwa kuweka wigo mpana kwa ajili ya kuendelea kuzalisha wataalam kwa lengo la kusaidia jamii na manufaa ya nchi kwa ujumla.
Wahitimu wa chuo cha Ustawi wa jamii waliotunukiwa tuzo ya uzamili na Dkt John Jingu wakati wa mahafali hayo leo Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII
yaani makala yote WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wahitimu-chuo-cha-ustawi-wa-jamii.html
0 Response to "WAHITIMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII WASHAURIWA KUTUMIA UJUZI ,UWEZO WALIOUPATA KUSAIDIA JAMII"
Post a Comment