WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO

WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO
kiungo : WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO

soma pia


WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kamulebya, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara, wakati Mbunge huyo alipofanya ziara katika kijiji hicho kusikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo kwa kuwa msimu wa kilimo umeshafika. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
Mkazi wa Kijiji cha Kamulebya, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara akimuuliza swali Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (hayupo pichani), wakati Mbunge huyo alipofanya ziara katika kijiji hicho kusikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo. Lugola aliwapa nafasi wananchi kutoa kero zao ndani ya Jimbo lake. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (kulia), akimsikiliza Afisa Tarafa ya Kenkombyo, Rebeca Mdodo alipokua anatoa taarifa ya Tarafa yake kwa Waziri Lugola, kabla ya Mbunge huyo hajaanza kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Bulamba, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Lugola ameanza ziara jimboni humo leo akisikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-lugola-aanza-ziara-jimboni-kwake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA JIMBONI KWAKE MWIBARA, AWAHAMASISHA WANANCHI KUANZA MAANDALIZI YA KILIMO"

Post a Comment