WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI

WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI
kiungo : WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI

soma pia


WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI

Na Said Mwishehe, Blogu ya jamii

CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam  kimefanya mahafali yake ya 13 ya chuo hicho ambapo jumla ya wahitimu 1578 wamehitimu ngazi mbalimbali za mafunzo huku 
Mwenyekiti wa Bodi chuoni hapo Steven Wassira akishauri somo la maadili na uzalendo liwe la lazima kwa wanafunzi wote.

Mahafali ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yamefanyika leo Novemba 30 mwaka 2018 ambapo pamoja na mambo mengine wahitimu ambao wamefanya vizuri kwenye masomo wamepewa zawadi na vyeti vya kuwatambua.

Akizungumza mbele ya Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Profesa Shadrack Mwakaluka , wahadhiri wa chuo hicho, wahitimu, wanafunzi na wageni waalikwa Wassira ambaye ndiyo alikuwa mgeni rasmi amesema elimu ndio kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu amapo pamoja na faida nyingine nyingi faida nyingine ya elimu ni kurahisisha utendaji kazi wa majukumu ya mhusika.

"Elimu ni mfano wa shamba ambalo unapanda mbegu bora na unavuna mazao bora.Hivyo nitumie nafasi hii kuwapongeza wote waliohitimu mafunzo yao chuoni hapa kwa ngazi mbalimbali.Hata hivyo niwakumbushe Watanzania elimu haina mwisho, hivyo ninyi mliomaliza ni vema mkaendelea na hatua nyingine za kielimu kwa maslahi yenu na Taifa kwa ujumla.
 Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Profesa Shadrack Mwakaluka akizungumza kwenye mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika leo chuoni hapo
 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Steven Wassira ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 13 ya Chuo hicho ageni rasmi (kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo Profesa Shadrack Mwakaluka wakipitia kwa umakini majina ya wahitimu.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo hicho pamoja na viongozi wengine wa chuo wakiwa pamoja na wahitimu waliofanya vizuri kwenye masomo(waliosimama nyuma).
 Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye picha wakati wa mahafali ya 13 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika leo chuoni hapo.




Hivyo makala WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI

yaani makala yote WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wassira-atumia-mahafali-chuo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE KWA WASOMI"

Post a Comment