WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO

WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO
kiungo : WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO

soma pia


WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO

Unaweza kusema watanzania wameamua na kila mtu anapambana kwa nafasi yake kuhakikisha anashinda na timu ya ushindi SportPesa Hii ni kutokana na ubashiri na haya yote ni kujitahidi kushinda bajaj na kufungua ukurasa mpya.

Kwanini watanzania wameamua kuipa jina la timu ya ushindi SportPesa kikubwa ni namna ambavyo timu hii imeonyesha kuwajali maana kwenye promosheni ya Shinda zaidi Na SportPesa wanatoa bajaj mia na mtanzania mmoja anaondoka na bajaj yake kila siku hii ndio maana halisi ya timu ya ushindi yani hawakubali ubashiri wako ukuache hivihivi.

Na kama kawaida SportPesa imeendelea kutoa bajaj kwa washindi wa promosheni ya shinda zaidi huku kwa wakati huu Mussa Mathias Kutoka Hapa Jijini Dar es salaam ndiye anayekabidhiwa bajaj baada ya kushinda. Huyu ni mshindi wa droo ya 34 ambaye alitusimulia ni kwa vipi alianza kucheza na timu ya ushindi mpaka kufanikiwa kushinda bajaj na hatimaye kuanza mwanzo mpya katika Maisha.

Mathias alisema watu wa huduma kwa wateja kutoka SportPesa ndio walimsababisha kujiunga na kuanza kucheza na hii ilitokea siku ambayo walikuwa wanapita mtaani kutoa elimu kuhusu timu ya ushindi ndipo na yeye alishawishika na kuanza kucheza.

"kwenye maisha kuna mambo mengi sana mimi ni dereva bajaj nimepitia mambo mengi nilikuwa natamani siku moja kumiliki bajaj yangu mpya ila sikufahamu ni wapi pangekamilisha ndoto yangu hii, ndio maana nilivyosikia na nyie mnatoa bajaj nilijitajidi kucheza sana kweli mungu sio dhalimu na mimi nimebahatika kushinda kweli hata siamini ila ama hakika sportpesa mmekwamua maisha yangu nawashukuru sana " alisema Mathias.
Pichani kuli ni Mshindi MUSSA MARTIAS wa Dar es Salaam akikabidhiwa funguo ya Bajaj yake aliyojishindia


 


Hivyo makala WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO

yaani makala yote WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/washindi-wa-promosheni-ya-shinda-zaidi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI YA SPORT PESA WAZIDI KUJINYAKULIA ZAWADI ZAO"

Post a Comment