WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA.

WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA.
kiungo : WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA.

soma pia


WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA.

Na Maria Kaira,Mwambawahabari

Ikiwa uwitaji wa damu bado mkubwa katika hospitali, Wananchi wameaswa kuwa na moyo wa kuchangia damu mara kwa Mara kwa lengo la kuwasaidia wagonjwa waliokuwa na uwitaji wa damu ili kuweza kuokoa maisha yao. 

suala la kuchangia damu liwe chachu Kwa jamii kwa ujumla kutokana na mahitaji ya damu bado yanaongezeka kila siku.

Hayo yamesemwa leo na Mchungaji wa taasisi ya Evance Sindano wakati alipotembelea hospitali ya Amana  kuwaona wagonjwa na kuwaombea, kutoa msaada,kufanya usafi pamoja na kuchangia damu. 

Pia amesema yeye na taasisi yake wataendelea na huduma hiyo ya kuwatembelea wagonjwa wenye uwitaji na kuweza kuwasaidia kadri Mungu atakavyowawezesha. 

Aidha  Dokta Majidi Mfaume amesema anaishukuru taasisi hiyo kwa kujitoa kwao kwa moyo,pia ametoa wito kwa taasisi nyingine kujitokeza kuchangia damu kwa kuwa uwitaji wa bado mkubwa. 

"Bado jamii haijakuwa na mwamko wa kuchangia damu,kiwango cha damu tunachokipata ni Kidogo kuliko matumizi tunayoyatumia nawahamasisha wananchi kuchangia damu ili tuweze kuokoa maisha ya wananchi wanao itaji damu "amesema

Kwa upande wake mchangiaji damu Dr Faustine Mzungukanga amesema ukichangia damu unakuwa umejiwekea  hazina kwa Mungu kwa kuokoa maisha ya mwananchi mwenzio. 

Megi George ametoa wito kwa jamii kuwa na moyo wa kusaidia wengine wasiojiwe, pia amesema wananchi wajitokeze kuchangia damu ili waweze kupata kadi itakayoweza kumsaidia atakapokuwa na uwitaji wa damu. 

Hata hivyo Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Amana Anna Mussa ameishukuru taasisi hiyo kwa kujitoa kwao na kuziomba taasisi nyingine kuiga mfano huo. 



Hivyo makala WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA.

yaani makala yote WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wananchi-waaswa-kuchangia-damu-mara-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WAASWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA."

Post a Comment