title : wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa
kiungo : wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa
wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happiness Kusekwa akipokea zawadi ya Daktari bora wa mwezi Oktoba kutoka kwa Mkurugenzi wa Tiba ya Moyo na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Peter Kisenge wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo. Zawadi hizo zilitolewa na kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi Oktoba Afisa Muuguzi Msaidizi Keyness Erasmus Mng’anya wa JKCI wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo. Zawadi hizo zilitolewa na kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro. Picha na: Genofeva Matemu - JKCI
Hivyo makala wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa
yaani makala yote wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wafanyakazi-bora-wa-mwezi-oktoba-wa.html
0 Response to "wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa"
Post a Comment