Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi

Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi
kiungo : Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi

soma pia


Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi

KATIBU Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara(TNBC), Balozi John Kijazi amezindua vikundi kazi vya baraza hilo kwa lengo la kujenga na kuimarisha mahusiano kati ya sekta za umma na binafsi katika kuibua changamoto na
kuzijadili kwa mustakabali wa maendeleo ya Tanzania.

Akizungumza mara baada ya uzinduzi wa vikundi kazi hivyo jijini Dar es salaam juzi, Balozi Kijazi alisema madhumuni ya kuunda vikundi kazi hivyo vilivyowajumuisha wataalum katika sekta mbalimbali vitawezesha majadiliano juu ya changamoto zajadiliwe kwa kina zaidi kabla ya
kupelekwa katika ngazi ya Baraza.

“jumla ya vikundi kazi vinne nimevizindua leo (juzi) ikiwa ni pamoja na kikundi kazi cha Mazingira ya Biashara, Viwanda, Misitu na Kilimo vitavyokwenda kuibua changamoto na kuleta mapendekezo yatakayosaidia kuboresha sera na miongozo iliyopo,” alisema Balozi Kijazi. Alisema ushirikiano kati ya sekta binafsi na Sekta ya umma unahitajika sana ili kuweza kuibaini changamoto na kuzijadili na kuja na mapendekezo yatakayo leta tija katika mustakabali wa kujenga uchumi wa
Taifa.

“Serikali itapokea mapendekezo yote yatakayowakilishwa na timu za wataalum kutoka katika vikundi kazi hizi na tutayafanyia kazi mapendekezo yote, zaidi kwa mengine yanayoweza kuchukuliwa na maamuzi kwa ngazi yenu endeleeni lengo ni kupunga majadiliano katika ngazi ya
taifa,” alisema Balozi Kijazi Alisisitiza kuwa mijadala ya vikundi kazi hivi ifanyike kwa uhuru na usawa kwa kutoa hofia cheo cha mtu au mali wote wawekitu kimoja ili majadiliano yaweze kuleta tija na mapendekezo yatakayofanya mazingira ya biashara kuboresheka zaidi.
Katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara(TNBC) Balozi John Kijazi(kushoto) akisalimia na Kaimu Katibu Mkuu wa TNBC Bi.Oliver Vengula(kulia) mara baada ya kuwasili katika kikao cha uzinduzi wa vikundi kazi vinne vya Baraza hilo jijini Dar es salaam. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania(TPSF) Salum Shamte na wapili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Prof.Faustine Kamuzora
Katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara(TNBC) Balozi John Kijazi akizungumza jambo na wajumbe wakamati tendaji wakati wa uzinduzi wa vikundi kazi vinne vya Baraza hilo jijini Dar es salaam zitakavyoleta mapendekezo ya kuboresha sera ,sheria na miongozi ili kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara nchini.



Hivyo makala Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi

yaani makala yote Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/vikosi-kazi-vya-baraza-la-taifa-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vikosi kazi vya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) vyazinduliwa rasmi"

Post a Comment