UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI

UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI
kiungo : UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI

soma pia


UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI .

JUMUIYA ya wanawake ya Chama Cha Mapinduzi (UWT) mkoani Pwani, imempa big up ,Rais Dk. John Magufuli kwa kasi yake ya utekelezaji katika sekta mbalimbali, ikiwemo miradi ya REA awamu ya III kwa vijiji 150 na mradi mkubwa wa Rufiji Hydropower utakaozalisha 2,100MW baada ya kukamilika .

Aidha wameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutenga bajeti ya bilioni 12.4 kwa ujenzi wa vituo 18 vya afya mkoa mzima na hospital tatu Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini na Kibiti. 

Awali akiishukuru serikali Mbunge wa viti maalum mkoani hapo, Subira Mgalu, wakati wakisheherekea miaka mitatu ya Rais Magufuli akiwa madarakani, sherehe iliyodhuriwa pia na kamati ya utekelezaji ya UWT mkoa. Anasema"Nikianzia sekta nayoisimamia nikiwa naibu waziri wa nishati nampongeza kupitia uongozi wake na maelekezo yake kuwasilisha bajeti ndani ya bunge ,wizara ya nishati imekuwa ikipata ongezeko kila mwaka "

"Wakati akiingia madarakani mh Rais alikuta asilimia 38 ya wanapata huduma za umeme lakini sasa ni asilimia 60 wamepata umeme kupitia miradi iliyokaribu nao, na miradi ya umeme vijijini "alifafanua Subira. Subira alielezea, kuna REA awamu ya tatu ambayo inaendelea ambapo vijiji 7,873 vilikuwa havina umeme lakini kwa kazi inayoendelea mzunguko wa kwanza vijiji 3,559 vinafanyiwa kazi na wakandarasi wapo kazini .

Alibainisha kwamba, kulikuwa na mradi wa ujazilizi ambapo vijiji 105 vimepata umeme na wananchi zaidi ya 25,000 kwenye mikoa nane ukiwemo nane wameunganishiwa umeme na mradi unaendelea .Hata hivyo alisema, serikali hiyo imeweza kufanikisha miradi ya maji katika miji ya Bagamoyo, Kibiti ,Utete pamoja na mradi wa maji WAMI -Chalinze ,Ruvu -Chalinze -Msoga, mradi wa maji katika miji ya Kisarawe na Mkuranga. 



Hivyo makala UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI

yaani makala yote UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/uwt-pwani-yampa-salute-rais-dk-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO NCHINI"

Post a Comment