title : TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI
kiungo : TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI
TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI
Na Amiri Kilagalila ,Njombe
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoani Njombe inawashikilia watumishi watano wa Halmashauri ya Makete akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Francis Namaumbo kwa ubadhirifu mkubwa wa fedha zaidi ya Sh.milioni 500.
Akizungumza leo Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Njombe Chalse Nakembetwa amesema kuwa upotevu wa fedha hizo umetoka katika makusanyo ya Julaihadi Semptemba ambapo yalikuwa ni zaidi ya Sh.bilioni moja huku taarifa zikionesha kuwa zaidi ya Sh.milioni 500 zimepotea na wahusika wakishindwa kutoa maelezo ya kutosha baada ya kuhojiwa na taasisi hiyo.
Amesema katika uchunguzi Takukuru imebaini wizi na ufisadi unaofanywa na baadhi ya watendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Makete zaidi ya Sh.milioni 5.69 sawa na asilimia 46 zilizokusanywa kwa utaratibu wa POS kwa kipindi cha Julai hadi Septemba 2018 hazijulikani zilipo.
Amefafanua makusanyo hayo yalikuwa ni sehemu ya Sh.1,245,632,633 yaliyokusanywa katika kipindi tajwa .Kutokana na uchunguzi huo Takukuru Mkoa wa Njombe inawashikiria baadhi viongozi na watendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa ajili ya uchunguzi.
Hivyo makala TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI
yaani makala yote TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/takukuru-yawashikilia-vigogo-watano.html
0 Response to "TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA MILIONI 500/- , YUMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI"
Post a Comment