title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na_29.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU"
Post a Comment