title : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza na Konseli wa Heshima wa Tanzania kwenye Jimbo la Perth nchini Australia, Bw. Didier Murcia alipofika kwenye Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 19 Novemba, 2018 kwa lengo la kujitambulisha kwa Mhe. Naibu Waziri pamoja na kumweleza utekelezaji wa majukumu yake katika kuiwakilisha Tanzania, Perth.
Bw. Murcia akimweleza jambo Mhe. Dkt. Ndumbaro wakati wa mazungumzo yao
Mazungumzo yakiendelea. Kulia ni Katibu wa Mhe. Naibu Waziri, Bw. Charles Faini.
Wakati huohuo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro alikutana kwa mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini, Mhe. Dan Kazungu. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 19 Novemba 2018. Pamoja na mambo mengine walizungumzia namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki. Pia Balozi Kazungu alitumia fursa hiyo kumweleza Mhe. Naibu Waziri kuhusu Mkutano wa Kimataifa kuhusu Rasilimali Endelevu za Majini utakalofanyika nchini Kenya kuanzia tarehe 26 hadi 28 Novemba 2018 .
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje-akutana-na.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA, PERTH PAMOJA NA BALOZI WA KENYA NCHINI"
Post a Comment