MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM

MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto Mwaibale
MWANAMUZIKI Mkongwe hapa nchini Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki' ameliomba jeshi la polisi kuendelea kusimamia sheria ya haki miliki za wanamuzi ili kazi zao zisiishie kwa maharamia.
Ombi hilo alilitoa mwishoni mwa wiki wakati viongozi wa Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO), ukitoa mada kwa maofisa wa Jeshi la Polisi  waliopo katika mafunzo Chuo cha Polisi cha Kurasini jijini Dar es Salaam kuhusu haki za wanamuziki hapa nchini.
"Ninyi wenzetu jeshi la polisi ndio tunaowategemea katika kusimamia sheria hii tunaamini mtatusaidia kazi zetu zisiibwe na maharamia" alisema King Kiki.
Akizungumza na katika mafunzo hayo Rais wa TAMUFO, Dkt. Donald Kisanga alisema lengo la mafunzo hayo ya siku moja kwa maofisa hao ni kuwajengea  uelewa wa ulinzi wa kazi za muziki ikiwepo  kudhibiti na kuwakamata maharamia wa kazi muziki hapa nchini.
Katibu Mkuu wa TAMUFO Stellah alisema umoja huo ulishatoa mapendekezo kupitia waraka maalumu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harisson Mwakyembe ili mtu yeyote atakayebainika akihujumu kazi za wasanii ashitakiwe kwa makosa ya jinai.
Alisema TAMUFO pia inaandaa mapendekezo ya kupeleka serikalini ya kuweka dawati la jinsia katika vituo mbalimbali vya polisi hapa nchini ambayo yatakuwa yakishughulikia wizi wa kazi za wanamuziki.
.
 Mwanamuziki Mkongwe nchini Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki' akizungumza na maofisa  wa Jeshi la Polisi  waliopo katika mafunzo Chuo cha Polisi cha Kurasini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuhusu haki za wanamuziki hapa nchini ambapo ameliomba jeshi la polisi kuendelea kusimamia sheria ya haki miliki za wanamuzi ili kazi zao zisiishie kwa maharamia. Mada katika mkutano huo zilitolewa na viongozi wa Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO)
 Maofisa wa polisi wa chuo hicho wakisikiliza mada.
 Katibu wa TAMUFO Stellah Joel Diana akizungumza na maofisa hao.
 Rais wa TAMUFO Dkt. Donald Kisanga akizungumza na makamanda hao. 




Hivyo makala MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mwanamuziki-king-kikii-ateta-na-maofisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANAMUZIKI KING KIKII ATETA NA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment