title : MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA
kiungo : MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA
MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA

KASKAZINI Mashariki mwa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kuna mti mrefu kuliko yote Afrika. Mti huo wenye kilometa 81.5 unapatikana katika moja ya bonde la mlima huo.
Kulingana na utafiti uliofanywa na mwanazuoni Adreas Hemps toka Chuo kikuu Bayreuth nchini Ujerumani akinukuliwa na jarida la Biodeversity and Conservation ambalo limeeleza kuwa Andreas aligundua mti huo miaka 20 iliyopita katika hifadhi hiyo na baadaye kati ya mwaka 2012 na 2016 alikuja na wataalamu wenzake na kuupima urefu wake ambapo kutokana na vipimo hivyo walikadiria umri wa mti huo ni kuanzia miaka 500 hadi 600.
Mti huo unaojulikana kwa jina la Colossus umevunja rekodi ya dunia kwa urefu wake na uliwahi kufananishwa na mti aina ya Sydney uliopo Limpopo Afrika Kusini ambao ulikufa mwaka 2006.
Pia fahamu kuwa mlima Kilimanjaro ndio mlima mrefu zaidi duniani kwa milima isiyo na safu na una kilele chenye mita 5895 kutoka usawa wa bahari ukiwa na vilele maarufu vya Kibo na Mawenzi.
Hivyo makala MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA
yaani makala yote MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mti-mrefu-afrika-huu-hapa.html
0 Response to "MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA"
Post a Comment