title : MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA.
kiungo : MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA.
MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA.
Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mh Sauda Mtondoo Ameongozana na Viongozi wa Serikali ya Kijiji Cha MAKASINI kupita kwa Wafanya Biashara ndogo ndogo eneo la Kwediboma kwa Lengo Kusikiliza Kero zao na Kuzitolea Ufumbuzi.
Lakini Pia Sambamba na Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara ndogo ndogo Mh Mkuu wa Wilaya Aliweza kukagua mradi wa Umeme wa REA uliopo Kijiji Cha GOMBERO Katika Kuhakikisha Maagizo ya Waziri wa Nishati Mh. Merdad Kalemani yametekelezwa tangu alipofanya Ziara wilayani mnamo tarehe 8/10/2018.Aidha Mkuu wa Wilaya ya Kilindi aliongozana na Katibu Tawala wa Kilindi ,Kaimu Meneja Tanesco Wilaya ya Kilindi pamoja na Viongozi wa Kijiji Cha Gombero
Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA.
yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkuu-wa-wilaya-ya-kilindi-akutana-na.html
0 Response to "MKUU WA WILAYA YA KILINDI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO NA KUTEMBELEA MRADI WA REA."
Post a Comment