HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO

HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO
kiungo : HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO

soma pia


HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO


Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametaka watendaji wa Bodi ya Korosho na Waendesha maghala kusimamia kwa weledi ubora wa korosho ili fedha za serikali zinazotolewa kwa ajili ya kununua korosho za wakulima katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma zitumike ipasavyo.

Waziri Hasunga ameyasema hayo tarehe 16 Novemba 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Alisema kuwa baada ya wananchi katika maeneo mbalimbali kusikia kuwa serikali imeanza kuwalipa wakulima wa korosho yamejitokeza matukio ya kuwepo kwa korosho chafu zilizotunzwa kwenye maghala tangu msimu wa mwaka jana 2016/2017 zikiwa hazipo katika ubora unaotakiwa wa daraja la kwanza ilihali korosho za madaraja mengine hazijaanza kununuliwa.

“Nadhani wanafanya hivi ili wafaidike na hela za serikali, jambo hili hatuwezi kukubaliana nalo kwani tayari tumeshakamata Tani 20 za korosho chafu kutoka kwenye ghala la Olam za Chama cha Ushirika cha Mnyawi Amcos kilichopo Nanyamba pamoja na Mbembaleo Amcos ambapo gunia tano za korosho chafu zimepatikana” Alisema
Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb).



Hivyo makala HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO

yaani makala yote HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/hasunga-awataka-watendaji-kusimamia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO"

Post a Comment