MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA

MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA
kiungo : MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA

soma pia


MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA

Na Francis Godwin,Iringa

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imemfikisha mahakamani  Mstahiki Meya wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Alex Kimbe kupitia chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) makosa mawili ya jinai kuomba na kupokea rushwa .

Kaimu kamanda wa takukuru mkoa wa Iringa Mweli Kilimali akizungumza leo na vyombo vya habari ofisibni kwake alisema kuwa meya huyo alipokea kiasi cha shilingi milioni 2 kutoka kwa mteja wao .

Alisema kuwa tukio la kukamatwa meya huyo lilitokea Novemba 15 mwaka huu majira ya saa 12 jioni katika Hotel ya Gentle Hills mjini Iringa .Kuwa meya huyo ambae ni diwani wa kata ya Isakalilo aliokea pesa hizo kinyume na kifungu cha 15 (1) (a) cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007.

Alisema meya Kimbe alipokea fedha hizo za mtego wa rushwa akiwa kwenye gari yake aina ya nadia yenye rangi ya Marron ikiwa na namba za usajili T 456 CKD iliyokuwa imeegeshwa katika eneo la kuegesha magari kwenye hoteli hiyo .“ Maafisa wa takukuru waliweza kumfuatilia meya huyo kwa muda mrefu na hivyo kuweza kumkamata akiwa amekwisha pokea fedha hizo za mtego kutoka kwa mtoa taarifa wao.
Kimbe akiwashukuru waliofika Mahakamani leo.
 Meya Alex Kimbe akifikishwa Mahakamani na Maofisa wa TAKUKURU leo
Meya Alex Kimbe akiwa Mahakamani leo 



Hivyo makala MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA

yaani makala yote MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/meya-manispaa-ya-iringa-afikishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA"

Post a Comment