title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA
MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo lililofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni kwa mchango wa nchi yake katika kusaidia kilimo cha zabibu wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake katika sekta ya mvinyo na zao la zabibu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Alkovintages Bw. Archard Kato wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde akizungumza na Waziri Wakuu wa Staafu Mhe. Peter Mizengo Pinda (katikati) na John Samuel Malecela (kulia) wakati wa halfa ya uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo lililofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akipata maelezo ya umuhimu wa zabibu ya Dodoma katika uzalishaji mvinyo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Alkovintages Bw. Archard Kato (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa tamasha la mvinyo Dodoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-azindua-tamasha-la.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA"
Post a Comment