title : MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE
kiungo : MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE
MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akisaini kitabu baada ya kumtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-amtembelea-na-kumpa-pole.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE"
Post a Comment