MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasan amewataka wamiliki wa migodi na viwanda vya kuchenjua madini nchini kuzingatia haki na usalama wa wafanyakazi wao.

Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachotengeneza madini ya Kinywe (Graphite), Mererani Wilayani Simanjiro.Makamu wa Rais ambaye yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Manyara.

“Pamoja na kuwekeza kupata pesa na kutoa ajira, kulipa kodi ni muhimu kuzingatia afya ya mfanyakazi kwa kumlinda kwa kumpatia vifaa vya usalama kazini pamoja na haki zao” alisema Makamu wa Rais.

Kiwanda cha Gomwanga Gem Ltd kinamilikiwa Mtanzania kwa asilimia 100%, kinazalisha tani 60 kwa siku na kimeajiri Watanzania 80 ambacho mpaka sasa kimezalisha tani 3730.Kwa upande mwingine Waziri wa Madini Mhe. Angella Kairuki amesema kwa sasa Serikali imeweka zuio la kusafirisha madini ghafi mpaka yaongwezewe thamani hivyo amempongeza mmiliki wa kiwanda hicho kwa kuitikia maelekezo ya Serikali.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa namna madini ya Tanzanite yanavyotambulika na kuwekwa kwenye madaraja yake na Mtaalam wa Madini Bw. Jaffar Ally Mohamed wakati alipotembelea Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mererani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Meneja wa Kampuni ya Godmwanga Gem Ltd Bw. Andrew Mbando (katikati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti (kulia) wakati alipotembelea kiwanda kinachomilikiwa na Mzawa kwa asilimia ambayo inachenjua madini ya Kinywe (Graphite). 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka  jiwe la msingi la ufunguzi wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachochenjua madini ya Kinywe (Graphite), Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachochenjua madini ya Kinywe (Graphite), Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-afanya-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MERERANI,AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA GRAPHITE"

Post a Comment