MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO

MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO
kiungo : MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO

soma pia


MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Freeman Mbowe anayekabiliwa na kesi ya Uchochezi namba 112 ya mwaka huu amesafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini akiwa mahututi kwa ajili ya matibabu ya moyo na shinikizo la damu.

Hayo yameelezwe leo Novemba Mosi mwaka huu na Wakili Peter Kibatala mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya washtakiwa kusomewa maelezo ya awali, (PH).

Wakili Kibatala ameieleza Mahakama kuwa alimuhoji mdhamini wa Mbowe, Grays Celestine na akamueleza kuwa Mbowe amesafirishwa jana jioni akiwa mahututi kuelekea Afrika Kusini na nyaraka za usafiri na matibabu zitawasilishwa kwa barua mahakamani.

Kibatala alieleza kuwa Mbowe amekuwa akifika mahakamani mara kadhaa bila kukosa, hivyo adhabu kwamba kueleza anaidharau mahakama kwani hata kitendo cha kumtuma mdhamini wake si jambo la dharau.Kutokana na taarifa hiyo, Wakili wa Serikali Mkuu Faraja Nchimbi ameiomba Mahakama itoe amri ya kumkamata mara moja Mbowe ili ajieleze kwani dhamana aliyopewa na mahakama isifutwe kwa kushindwa kuiheshimu.

Baada ya mdhamini huyo kueleza hayo, Hakimu Mashauri alimuuliza kama ana nyaraka ya kuithibitishia mahakama kuwa Mbowe amesafiri nje ya nchi kwa Matibabu lakini mdhamini huyo alidai kuwa hana na kwamba mshtakiwa akirejea atawasilisha nyaraka za safari na Matibabu kwa mahakama na upande wa mashtaka. 



Hivyo makala MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO

yaani makala yote MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mahakama-yaambiwa-freeman-mbowe-mgonjwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA YAAMBIWA FREEMAN MBOWE MGONJWA, APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU YA MOYO"

Post a Comment