MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA

MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA
kiungo : MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA

soma pia


MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Morogoro

Mageuzi ya kilimo nchini Tanzania yanapaswa kutiliwa mkazo na wadau wote wa sekta ya kilimo wakiwemo wananchi, wadau wa maendeleo na serikali kwa ujumla.

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 23 Novemba 2018 wakati akizundua Kongani ya tatu ya Centre Limited (SCL) Sagcot-Kilombelo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Flomi mjini Morogoro.

Mhe Hasunga alisema kuwa Sekta ya kilimo imeendelea kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania kwani imekuwa ikichangia kwa Kiasi kikubwa katika kutoa ajira, kuchangia karibu nusu ya mauzo yote ya nje na hivyo kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta fedha za kigeni.

Alisema kuwa Serikali imeendelea kuweka juhudi zake katika kuwezesha sekta ya kilimo kwa kufanya mabadiliko mbalimbali ya kisera yenye lengo la kuweka mazingira wezeshi kwa sekta ya kilimo kukua.Pia serikali imezindua Mpango wa pili wa Maendeleo ya Kilimo (ASDP II) wenye lengo la kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na inachangia katika maendeleo ya uchumi na kuongeza kipato cha mkulima mdogo.


Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizundua Kongani ya tatu ya Centre Limited (SCL) Sagcot-Kilombelo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Flomi mjini Morogoro tarehe 23 Novemba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo)

Mkurugenzi Mtendaji wa SAGCOT Ndg Geofrey Kirenga akieleza mwelekeo wa jinsi SAGCOT itakavyoendesha shughuli zake wakati wa uzinduzi wa Kongani ya tatu ya Centre Limited (SCL) Sagcot-Kilombelo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Flomi mjini Morogoro tarehe 23 Novemba 2018. 


Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizundua Kongani ya tatu ya Centre Limited (SCL) Sagcot-Kilombelo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Flomi mjini Morogoro tarehe 23 Novemba 2018.




Hivyo makala MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA

yaani makala yote MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mageuzi-ya-kilimo-yanahitaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAGEUZI YA KILIMO YANAHITAJI USHIRIKIANO WA WADAU WOTE-HASUNGA"

Post a Comment