KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA.

KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA.
kiungo : KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA.

soma pia


KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA.


Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kwa sasa hana presha ya kuifuatilia Yanga licha ya kuwa sawa kwa pointi wakiwazidi kwa mabao ya kufunga ambayo yanawaweka nafasi ya pili.

Yanga wana mchezo mmoja mkononi kwa kuwa wamecheza michezo 10 wana mabao 17, Simba wamecheza michezo 11 wana mabao 23, mchezo wa mkononi walionao Yanga unawapa jeuri.

Aussems amesema kuwa pointi sawa na Yanga kumewapunguzia presha hasa kutokana na ushindani uliopo kwenye ligi, hesabu zao kwa sasa ni kuhakikisha wanashinda michezo yao.

"Tupo juu ya Yanga, imeshusha presha kwa kiasi fulani kwa kuwa wao wamekuwa wakifanya kazi yao, sare kwa Ndada sisi ni faida kwetu kwa kuwa tunatakiwa kuangalia mbali ila hilo sio jambo la kutegemea sana," alisema.

Azam wanaongoza ligi kwenye msimamo wakiwa na Pointi 30 baada ya kucheza michezo 12, mabingwa watetezi Simba bado wana imani ya kuleta ushindani kwenye ligi


Hivyo makala KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA.

yaani makala yote KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kocha-wa-simba-atoa-ya-moyoni-klabu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOCHA WA SIMBA ATOA YA MOYONI KLABU YA YANGA."

Post a Comment