title : KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK
kiungo : KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK
KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania (TBF) Phares Magesa amesema kuwa Kocha wa Kikapu Matthew McCollister ataendesha mafunzo kwa vijana na kusaka vipaji.
Mafunzo hayo yatakayoendeshwa 7 Novemba yataanza saa 3 asubuhi na kutakuwa na ufunguzi wa mafunzo ya vijana ya kikapu, yatakayoendeshwa na Kocha huyo Matthew McCollister ambaye ni Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Marekani.
Mafunzo hayo yatafanyika viwanja vya JMK Youth Park, Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni tarehe 7 na 8, Novemba, 2018.
Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania (TBF) linaomba vijana wote wanaopenda kushiriki katika mafunzo haya wafike JMK Park ili kufaidika na mafunzo hayo, ambapo pia Kocha huyo atachagua baadhi ya vijana wenye vipaji ambao watapatiwa nafasi ya kufanya mafunzo zaidi nchini Marekani.
Tayari Kocha huyo amefanya mafunzo kama haya Arusha tarehe 3 - 5 Novemba, 2018.
TBF inaishukuru Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na Michezo, Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kituo cha michezo cha JMK Youth Park na wadau wengine kwa kufanikisha mafunzo na ziara hii Kocha Matthew.
Hivyo makala KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK
yaani makala yote KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kocha-matthew-mccollister-jusaka-vipaji.html
0 Response to "KOCHA MATTHEW McCOLLISTER JUSAKA VIPAJI VYA WACHEZAJI WADOGO WA KIKAPU KESHO JMK PARK"
Post a Comment