“KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI

“KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa “KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : “KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI
kiungo : “KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI

soma pia


“KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI

NA YASINI SILAYO, GEITA

Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Medard Matogolo Kalemani akiwa Mkoani Geita, jana Novemba 25 amesema kuwa, kasi ya utekelezaji wa jukumu la kusambaza na kuunganisha wananchi na huduma ya umeme kwa maeneo ya Mijini na Vijijini kote Nchini ni ile ile ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha kuwa huduma ya Nishati ya umeme inatumika kuchochea na kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na huduma za kijamii Nchi nzima. 

Sisi Kama Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na Wakala wa Usambazaji Nishati ya Umeme Vijijini (REA) tumeendelea kusimamia na kutekeleza jukumu la kusambaza na kufikisha huduma za umeme kila pembe ya Nchi ikiwa ni Mijini na Vijijini” Alisema Waziri Kalemani. 

Aliongeza kuwa hivi sasa Wizara kupitia TANESCO na REA wanaendelea kutekeleza miradi ya usambazaji umeme Vijijini, lakini umeme huo unasambazwa kwa kasi ile ile maeneo ya mijini ikiwemo mitaa yenye makazi mapya na ile ya zamani ambayo ilikuwa bado hayajafikiwa na huduma za Umeme kupitia TANESCO yenye jukumu la kusambaza huduma hiyo katika maeneo ya Mijini. 

Alibainisha pia katika kuimarisha zaidi mpango wa usambazaji umeme vijijini serikali imeanza maandalizi ya kutenga fedha maalumu zitakazotumika kuchochea kasi ya usambazaji umeme maeneo ya mijini. 
Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Medard Kalemani, kulia akiongea na Wananchi pamoja na kutoa maelekezo kwa viongozi wa TANESCO na REA katika eneo la Bulengahasi lililopo Kata ya Katoro Mkoani Geita baada ya kukagua na kujionea maendeleo ya shuguli za usambazaji umeme eneo hilo. Kushoto kwake ni Meneja wa TANESCO Mkoa wa Geita Mhandisi Joaquim Ruweta.
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (katikati) akiendelea na kazi ya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya kusambazia umeme katika kijiji cha mapinduzi kilichopo kata ya buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Meneja wa TANESCO Mkoa wa Geita Mhandisi Joaquim Ruweta na Kulia ni Diwani wa Kata ya Buseresere Bw. Godfrey Fulko.



Hivyo makala “KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI

yaani makala yote “KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala “KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kasi-ya-umeme-mijini-na-vijijini-ni-ile.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "“KASI YA UMEME MIJINI NA VIJIJINI NI ILE ILE’’- WAZIRI KALEMANI"

Post a Comment