title : KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
kiungo : KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
*Awataka waache kukimbia mwendo kasi, kupita magari bila uangalifu
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunas Muslimu ametoa onyo kali kwa madereva wa Serikali ambao hawazingatii sheria za usalama barabarani na kusababisha ajali zinazokatiza maisha watumishi wa umma ambao Serikali imetumia fedha nyingi kuwaandaa huku akisisitiza atakayevunja sheria atamnyakua tu na sheria kuchukua mkondo wake.
Amesisitiza umuhimu kwa madereva wote nchini wakiwamo hao wa Serikali kuhakikisha wanatii sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali ambazo zinaepuka iwapo sheria zitazingatiwa. Kamanda Muslim ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na Michuzi Blog iliyotaka kupata kauli yake kutokana na kuibuka kwa ajali za barabarani ambazo nyingi zinahusisha magari ya Serikali ambapo amesema jambo la msingi ni kuhakikisha madereva wanatii sheria zilizopo.
"Tumedhamiria kuchukua hatua kwa madereva wote wa Serikali wanaoshindwa kuheshimu sheria za usalama barabarani na matokeo yake kusababisha ajali ambazo kimsingi zinaepukika.Madereva wote wa Serikali wote wamekwenda chuo na wanajua vema sheria za usalama barabarani.Hivyo hizi ajali ambazo zinatokea kwangu naona ni maksudi na wala hakuna sababu nyingine zozote zenye mashiko.
Hivyo makala KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
yaani makala yote KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kamanda-muslim-sasa-kuwanyakua-madereva.html
0 Response to "KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI"
Post a Comment