IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI

IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI
kiungo : IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI

soma pia


IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale  anaeshughulikia masuala ya Habari Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akizungumza katika khafla ya kuwaaga wafanyakazi hao iliofanyika  ukumbi wa Palace Museum Forodhani Mjini Zanzibar.
 Mkurugenzi  Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Zanzibar Salum Kitwana Sururu akitoa shukurani zake kwa Wafanyakazi hao (hawapo pichani) na kuwatakia kheri katika maisha yao.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar  anaeshughulikia masuala ya Habari  Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akimkabidhi cheti maalum Bi. Jokha Ali Simba mmoja ya wafanyakazi waliostahafu Idara ya Makumbusho ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 Katibu Mkuu Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSU) Mwatumu Khamis Othman akimkabidhi saa ya ukutani mzee  Mussa Vuai Pakia  katika khafla ya kuwaaga wafanyakazi hao iliofanyika  ukumbi wa Palace Museum Forodhani Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa  Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale waliohudhuria katika ghafla ya kuwaaga wafanyakazi wenzao waliomaliza muda wa kufanya kazi katika Idara hiyo.
 Wafanyakazi walioangwa baada ya kumaliza utimishi wao wa kazi katika Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Zanzibar.
Picha na Abdalla Omar Habari  -  Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI

yaani makala yote IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/idara-ya-makumbusho-na-mambo-ya-kale_29.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "IDARA YA MAKUMBUSHO NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR IMAWAGA WAFANYAKAZI WALIOMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI"

Post a Comment