*GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*

*GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE* - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa *GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : *GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*
kiungo : *GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*

soma pia


*GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*


Na Mwandishi wetu, Mihambwe
Gavana Mihambwe, Emmanuel Shilatu amesisitiza jukumu kubwa la viongozi wa Serikali ni kuhakikisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi unafanyika kwa kuhakikisha miradi inayopokelewa ni ile iliyokamilika vyema.

Gavana Shilatu aliyasema hayo wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Sekondari Mkoreha ili kujionea hatua iliyofikiwa.

*Tarafa ya Mihambwe tunatekeleza, Viongozi wote wa Serikali tuna jukumu kubwa la kuhakikisha tunasimamia na kutekeleza vyema ilani ya uchaguzi ya CCM kwa kuhakikisha miradi ya kimaendeleo inayokabidhiwa ina ubora unaolingana na thamani ya pesa. Hivyo mradi wa maendeleo usiokamilika vyema usipokelewe."* alisema Gavana Shilatu.

Gavana Shilatu  alisifu hatua iliyofikiwa ya mradi huo wa ujenzi na kusisitiza madarasa hayo yakamilike haraka ili yaanze kutumika mara moja.

*"Napongeza hatua iliyofikiwa. Kuanza kutumika kwa madarasa haya yatakidhi mahitaji yaliyopo ambayo yameongezeka kutokana na fursa ya elimu bure na bora ambayo Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli inatoa. Hivyo Madarasa haya yakamilishwe vyema mara moja na yaanze kutumika mapema iwezekanavyo."* alisisitiza Gavana Shilatu.


Hivyo makala *GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*

yaani makala yote *GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE* Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala *GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE* mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/gavana-shilatu-ataka-mradi-wa-maendeleo_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "*GAVANA SHILATU ATAKA MRADI WA MAENDELEO USIOKAMILIKA VYEMA USIPOKELEWE*"

Post a Comment