DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA

DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA
kiungo : DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA

soma pia


DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) ameahidi kushirikiana na watumishi wa ofisi yake kupanga mikakati endelevu itakayowezesha kutoa huduma bora kwa umma na kuhakikisha ofisi hiyo inakuwa na mtazamo chanya katika kuwahudumia wananchi.

Dkt. Mwanjelwa ametoa ahadi hiyo leo wakati akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuripoti ofisini kwake jijini Dodoma kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. Dkt. Mwanjelwa ameomba ushirikiano wa dhati kutoka kwa watumishi wa ofisi yake kwani kila mtumishi ana mchango na umuhimu wake katika kuboresha utuoaji wa huduma kwa umma.

Aidha, Dkt. Mwanjelwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kumuamini na kumteua kuwa Naibu Waziri mwenye dhamana ya utumishi na utawala bora.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Mhe. Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, tarehe 10 Novemba, 2018 na kumuapisha tarehe 12 Novemba, 2018.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akimkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) mara baada ya kuripoti ofisini kwake mapema leo jijini Dodoma kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. 
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi.Dorothy Mwaluko, akimkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) kuzungumza na watumishi, mara baada ya kuripoti ofisini kwake mapema leo jijini Dodoma kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. 
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuripoti ofisini kwake jijini Dodoma leo kwa ajili ya kuanza kazi rasmi.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) akisalimiana na mmoja wa watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuripoti ofisini kwake jijini Dodoma leo kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. 


Hivyo makala DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA

yaani makala yote DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dkt-mwanjelwa-aahidi-kushirikiana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA"

Post a Comment