title : CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA
kiungo : CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA
CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati) akiangalia vitalu vya miche ya miti aina ya misindano(pines) alipowasili katika Gereza la Mgagao, Wilaya ya Kilolo leo Novemba 10, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Gereza hilo, ASP. Peter Sahani(kulia) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Iringa, ACP. Hassard Mkwanda.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(wa kwanza kulia) akikagua moja ya shamba la miti aina ya misindano alipofanya ziara ya kikazi leo Novemba 10, 2018 katika Gereza la Mgagao, Wilayani Kilolo.
Askari wa Gereza Mgagao, Koplo Stephen akieleza changamoto mbalimbali za kiutendaji mbele ya Kamishna Jenerali wa Magereza alipotembelea gereza hilo leo Novemba 10, 2018.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA
yaani makala yote CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/cgp-kasike-atembelea-magereza-ya-mgagao.html
0 Response to "CGP KASIKE ATEMBELEA MAGEREZA YA MGAGAO NA ISUPILO, LEO MKOANI IRINGA"
Post a Comment